Tumia jumbe zifutazo kama ni silaha yako katika kumpata mwanaume umtakae.
Wakati anapokuwa mbali, kila ujumbe una maana tofauti ya uwajibikaji kutoka kwa mwanaume. Zingine ni flirty, zingine zinaonyesha uhakika na uhuru,zingine zinaleta furaha kwako na kwake, na zingine ni za kuamsha mapenzi
Zote zimetengenezwa kwenye hali ya kufanana., zingine hufanya vizuri kwa mwanaume ambae umekutana nae kwa mara ya kwanza, wakati zingine zinafanya kazi nzuri kwa yule ambae umekuwa nae kwa muda mrefu kidogo.
Haijalishi ni hisia gani kila moja atakuwa nayo, ujumbe utasababisha kutokea kitu kipya. Zote zinaonyesha kuwa wewe una thamani ya juu.
Hapa ndio silaha zako zilipo. Furahia.
1.Imekuwa vizuri tumesoma wote, vinginevyo kungetokea matatizo kwa kila mmoja wetu
Wanaume hufurahishwa na mawazo ya matatizo. Hisia zinapoonyesha tatizo ndio panapokuja mvuto na hamu ya kuzidiwa na ukweli, kuliko kinyume chake.
Huonyesha furaha, msisimko, hatari, na kitu kisichotabirika. Inamfanya awe ni moja kati ya wale wanaohitaji kutatua hilo tatizo na kuona kitu gani kitatokea.
2.Anapokuuliza unafanya nini sasa:
‘’Unajibu unaoga …. Unataka kutoka baadae kidogo’’
Watu wengi huwa hawapendi kuulizwa hili swali, halina maana wala halivutii mtu,
Kwa hio unapotuma ujumbe huo kwake , unapanda kitu ndani ya ubongo wake, anapata picha kichwani mwake na kumfanya akufikirie jinsi ulivyo na jinsi utakavyoonekana ukitoka.
3.Nakuletea wazo hili? Ujumbe wa picha
Jipige picha na uitume jinsi ulivyopendeza, kumbuka wanaume ni wajenzi wa taswira.
Faida ya ujumbe huu ni kwamba unampa nafasi ya kuitikia kitu fulani hivi. Kitu kinachoufanya huo ujumbe uwe mzuri kwake kwa jinsi ulivyo na kuhitaji kutunza uhusiano wenu.
4.Unapaswa kuwepo hapa sasa hivi.
Ujumbe huu ni wa nguvu. Kwa sababu hujamwambia au hujamwita ili awe nawe. Umeacha mpira kwenye koti lake.
Hapo hujasema hata uko wapi, au unafanya nini, inaonyesha tu kuwa na imani na kutengeneza uchunguzi . lakini umemwambia awepo pale. Hiki kinaonyesha ujasiri na kumfanya awe na hamu, ambayo ni wazo la mchanganyiko.
5.Nilikuwa natengeneza chakula changu nikipendacho.
Unampa hisia za karibu za mapenzi.
Wanaume wanapenda chakula. Kama umekutana na mtu ambae tayari unamjua kwa hilo . kuelezea kitu unachokula au ambacho umekula mara zote ni furaha kwake.
Ujumbe huu unaonyesha kuwa uko makini na unamfanya mtu awaze kutoka na wewe kwenda mahali kwa ajili ya kurelax nae.Ambae anakufanya uwe na furaha na kuwa mwanamke mwenye ndoto.
6.’’Shati hili litakupendeza na utaonekana vizuri ‘’( ujumbe wa picha)
Piga picha tishirt au shati ambalo unafikiri kuwa litamkaa vema kwenye mwili wake, tuma kwake pamoja na ujumbe wa juu , ni njia nzuri ya kuonyesha kuwa unamfikiria yeye, unaweza kutumia maneno kama hot, badala ya nice. Ili kumwonyesha kuwa unavutiwa nae. Ni kitu muhimu kufanya hivyo wakati mwingine.
7.’’Kwa joto ulilonalo , Siwezi kuondoka kwa urahisi ; lakini nitafurahi kuona uso wako mzuri kama utahitaji kutoka na mimi wiki hii ‘’
Wanaume wengi hutaka kufanya mapenzi kwa haraka sana. Hii ni njia nzuri ya kuvunja hali hio ya ngono. Lakini inaonyesha hamu yake ya wakati mwingine, bila ya kuharibu moyo wake. Humkatai , ila unamwambia muda bado .
8.Sina uhakika kama tutakuwa marafiki tena.
Unaweza kutuma ujumbe huu bila ya maelezo , kitu ambacho kitamfanya aweze kukujibu ili ajue kulikoni huwezi kuwa rafiki yake tena.
Bila shaka ilikuwa ni hila, mchezo fulani wa kumwambia kuwa kwa muda amekuwa rafiki tu, ni changamoto kubwa ya kumfanya awe zaidi ya hilo. Ujumbe huu ni mzuri kutuma wakati wa mwanzoni , hatua za kwanza, kabla ya kufanya kitu chochote.
9.Wewe, mimi , piza, bwana wa pete, uwe pale.
Ujumbe huu ni kwa wale tu waliotayari kwenye ndoa, sio wa wale walio katika hatua za kwanza za urafiki. Labda tu kwa wale ambao pia wamekuwa na urafiki wa kimapenzi.
Katika ujumbe huu vitu vinaweza kubadilishwa, badala ya kusema piza, au bwana, unaweza kuweka neno linaloonyesha mvuto . mimi nimejiwekea tu . pointi ya ujumbe huu ni hila au ni ya mchezo fulani.
Kitu mbaya zaidi kitatokea? Huenda asikujibu na unafanya mbinu nyingine. Kama anakupenda, atakujibu na kupanga muda. Kwa hio ni vizuri kumtumia ujumbe wa aina hii ili kumpima.
10.Sema asante. Ujumbe unapokuja kutoka kwa mwanaume ya kuwa , ‘’ i miss you’’
Usiseme i miss you too. sema nashukuru, asante, karibu na mengine mazuri.
Sasa mwanamke smart anaweza kutambua kwamba ujumbe ni sehemu muhimu ya kumvutia mtu sahihi kwake.
Pia unahitaji kufahamu jinsi ya kusema, jinsi ya kumwelewa mwanaume fikira zake na vitendo vyake, sifa za uhakika za kutumia ili kumfanya ajisikie kama superman.
No comments:
Post a Comment
getubeauty@gmail.com