MAALUM KWA KINA DADA: SHERIA 10 ZA KUMRIDHISHA MWANAUME WAKO KIMAPENZI! - GETU BEAUTY

getubeauty@gmail.com For booking +255(0)789 640 913 =hairstyledesigns/Beautykuwamrembo Make up/Kuwa Mrembo.

For You 24

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, February 20, 2018

MAALUM KWA KINA DADA: SHERIA 10 ZA KUMRIDHISHA MWANAUME WAKO KIMAPENZI!

mwanaume-mwanamke-mapenzi
#6 Kuwa mdadisi wa tendo zima la kujamiiana na kuwa mbunifu. Kufanya mapenzi ni raha, na ni tendo nyeti kati ya wapenzi wawili. Hivyo basi, jaribu mambo mapya kadri unavyoweza na usije ukabaki na nyenendo zile zile kila siku (stuck in a routine), hata kama unajisikia vizuri na mapozi au nyenendo hizo (even if it feels comfortable).
#7 Mtomase kwa namna anavyopenda yeye. Wanaume wengi hawapendi kutomasana (foreplay). Tunalijua hilo kwa muda mrefu, lakini huenda ni kwasababu tunaomba kutomaswa sehemu ambazo si sahihi kwa mtazamo wake. Kwa wanawake, kutomasa kuna maanisha kupapasa na kunyonya sehemu mbalimbali za mwili. Lakini, pengine kuna vitu vyengine au kutomasana kwa aina nyingine, ambayo mwanaume wako anaweza kupenda (enjoy). Mathalani, unaweza ukamruhusu mwanaume wako akupige masaji kwa mafuta ya kunukia au kukuchora kwa hina, au pengine unaweza ukamruhusu akupige picha za utupu wakati mnatomasana (lazima umuamini vya kutosha kabla ya kumruhusu kupiga picha za utupu, kwani kama dume ni bwege basi picha utazikuta kwenye magazeti ya udaku kesho yake!). Pointi hapa ni kwamba kuna namna nyingi sana za kutomasana, kwahiyo tafuta ni namna gani mwanaume wako anapenda, na tumia hiyo kumridhisha! Vinginevyo, vicheche watamchukua.
#8 Ongea kimahaba (Talk dirty). Wanaume wanapenda mwanamke, ambae anaongea uchafu kitandani kiasi kwamba jogoo anawika kwa kumsikiliza tu asemayo. Kama unataka kujua namna ya kumridhisha mwanaume wako kitandani, basi unatakiwa kujua kuongea uchafu.
#9 Usisome gazeti wakati wa kufanya mapenzi. Toa milio ya kimahaba wakati unafanya mapenzi na mwanaume wako, kwa maana nyingine usikae kimya kama unasoma stori Fulani ya kusisimua kwenye gazeti. Toa miguno wakati anakubusu busu shingoni, na toa miguno wakati anakwenda deeper! Hii inamsisimua sana mwanaume, na anatendelea kujituma kwa bidii zote.
#10 Wasiliana (Communicate!). Mawasiliano ni muhimu sana linapokuja suala la mapenzi, hakuna ubishi katika hilo. Muulize mwanaume wako anapendelea mikao gani, sio tu kwamba atakupa jibu, bali itamhamasisha nay eye kukuuliza unapendelea nini. Mkijijengea misingi ya kuulizana, basi hamtokuwa na ulazima wa kuhisi au kubuni kinachohitajika.

No comments:

Post a Comment

getubeauty@gmail.com

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages