JINSI YA KUTENGENEZA USO UKIWA NYUMBANI - GETU BEAUTY

getubeauty@gmail.com For booking +255(0)789 640 913 =hairstyledesigns/Beautykuwamrembo Make up/Kuwa Mrembo.

For You 24

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, February 20, 2018

JINSI YA KUTENGENEZA USO UKIWA NYUMBANI



Kuna namna nyingi ya kutengeneza uso iwe nyumbani au saluni. Pia ni vizuri kama kutakuwa na kuelekezana jinsi ya kutengeneza uso ukiwa nyumbani.
Ni Muhimu ukafuata hatua zifuuatazo;
1.Chukua maziwa  ya mgando na utumie kusafisha uso wako.
2.Scrub kwa kutumia mchanganyiko wa mlozi na karoti au mlozi na jani la chai.
3.Fanya toning ya maji ya uvuguvugu yaliyochanganywa na kipande cha limao  na weka kidogo katika taulo la pamba na futa uso wako mahali pote kaoro kwenye tatizo.
4.Tumia ute mweupe wa yai ambao utakuwa umemwagika katika taulo lako na kujisugua tartibu.
5.Jisafishe na maji ya vuguvugu .
6.Fanya toning tena  kama livyokuwa kwa hatua za tatu juu.
7.Ili kuondoa ukavu za ngozi , kata matango na yabandike katika ngozi.

No comments:

Post a Comment

getubeauty@gmail.com

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages